Umuhimu wa ibada ya Ushirika Mtakatifu | Ibada ya meza ya Bwana | Rev David Batenzi.

Karibu katika somo muhimu kuhusu ibada ya meza ya Bwana au ushirika Mtakatifu. Somo hili limeelezewa kiundani kwa kila Mkristo kuelewa.