Sasa Wakati Umefika | Basil A. Lukando | Sauti Tamu Melodies | wa Matoleo | SKIZA 7482439
Sasa wakati umefika wa kushika nilicho nacho Kwa wema niende kwa Mungu nitoe zawadi Sasa wakati umefika kwenda mbele za Mungu wangu Aone nilivyoandaa zawadi ya leo Nitamwambia Bwana pokea, hiki kidogo nilicho nacho Kwani Mungu wewe wanijua, mimi siwezi hata kueleza Nakusihi sana Baba unipokee Nigawie na baraka niwe salama Tazama anayekula mwili wako na nijaposema kwa lugha #SautiTamu #kwayakatoliki #Zilipendwa subscribe channel hii kwani nyingi zaja. Fuatilia pia channel ya Rajo Production, Holy Trinity Studios, Tanganyika productions kupata nyimbo nyingine za kwaya Katoliki Afrika Mashariki zikiwemo mimina neema maneno matamu wimbo ulio bora Bwana unibadili na neema ya Mungu. Nyimbo nyingine za sadaka zinazojulikana sana ni uzipokee sadaka, nitakwenda mimi mwenyewe, utukuzwe ewe Baba, Sadaka yangu kwako ee Mungu, Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza, sasa ndio wakati, na Beba mikononi sasa wakati umefika catholic song

HEBU NIELEZE KWA SAUTI YA UPOLE| Nyimbo Za Kumsifu, Bwana Yesu, Yahwe, Nifinyange #swahilipraise

NYIMBO ZA KATOLIKI ZA MAMA BIKIRA MARIA 1

Nitakwenda Mimi Mwenyewe | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Matoleo (Skiza 7482440)

Inside Ruto MASTER PLAN with Gachagua IMPEACHMENT CASE |Plug Tv Kenya

Mt. Kizito Makuburi - Tegemeo Letu (Official Music Video) SKIZA CODE : 95213077

Best Swahili Catholic Songs Nonstop Mix | Latest Kenyan/Tanzanian Catholic Worship by DJ Naj Kenya

Nikupe Nini Mungu Wangu | B A Lukando | Sauti Tamu Melodies |Sadaka/Matoleo ~Skiza 7482438

NYIMBO ZA EKARISTI TAKATIFU KOMUNIO ZINAZOIMBWA ZAIDI. WAIMBAJI CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS- DSM TZ

Niruhusu Yesu Wangu || E. F. Kidaluso || Evans Kibet Family & Friends

Utukuzwe ewe Baba Mungu | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Pasaka, shukrani /matoleo (Skiza 7482441)

Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)

Catholic Fire Mix 2026 🔥 Latest Swahili Praise & Worship | DJ Naj Kenya

Anayekula Mwili Wako - Sauti Tamu Melodies (wimbo wa Kupokea Ekaristi/komunyo)

Ulisema Naposhindwa Nikuite | Powerful Swahili Worship Prayer Mix 2026

Israel Mbonyi - Swahili Collection (2024)

NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA | BIKIRA MARIA SONGS MIX

SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Nyimbo Za Kuabudu Bwana | Swahili Worship Songs 2026 | Sifa & Maombi Ya Roho

Sisi Wana wa Dunia (Usia wa Maria) - P. F. Mwarabu | Mwezi wa rozari | Sauti Tamu Melodies

