JEMEDARI WA MBINGU_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Kijenge Arusha

Jemedari wa Mbingu, ni wimbo uliobeba jina la album yenye nyimbo za kumsifu Mungu. Album hii ipo sokoni sasa na inapatikana mikoa yote. Wasiliana nao leo kupitia namba +255 754 886 290 au +255 754 962 559 #kwayakatoliki