EE BWANA MBELE YA MIUNGU. by Erick Kessy

karibuni tena kutafakari maneno ya wimbo wa katikati dominika ya 5 mwaka C kwa njia ya wimbo huu ulioimbwa na wanakwaya wa MT YUDA THADEI BUGANDO jimbo kuu la Mwanza