Japhet Zabron - Sipo Peke Yangu (Official Video) FOR SIKIZA DIAL*860*415#

#japhetzabron #SipoPekeYangu #zabronsingers #trendingvideo Karibu uweze Kutazama Video ya wimbo huu wa "SIPO PEKE YANGU" by Japhet Zabron ambao Unapatikana kwenye Album ya FAILI LANGU. YEREMIA 30:16 Basi Watu wote wakulao wataliwa,na adui zako wote watakwenda kufungwa kila mmoja wao,na hao waliokuteka Nyara watatekwa ,na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo.