KILICHOMPATA KANALI ALI MAHFOUDH NA KUFUKUZWA NCHINI-MAELEZO YA MKEWE BI. NAILA JIDDAWI
Kanali Ali Mahfoudh wa Zanzibar alikuwa Komandoo maarufu sana katika visiwa hivyo na Tanzania kwa ujumla. Alishiriki katika harakati za uhuru kwa nchi nchi za Afrika. Lakini baadae chini ya utawala wa Nyerere, Kanali Mahfoudh alikamatwa baada ya kifo cha Sheikh Abeid Amani Karume yeye pamoja na wenyiwe wengine na kuwekwa kizuizini na kisha kuachiwa na kwenda Msumbiji. Aliishi Msumbiji hadi kifo chake. Mkewe Bi Naila Jiddawi, mwanasiasa maarufu visiwani Zanzibar anaelezea kilichotokea na mambo yalivyokuwa. Tazama video hii.

▶︎
Sheikh Abeid Karume: historia, mapinduzi na hatma ya Zanzibar ya leo - Uchambuzi wa Jussa

▶︎
Simulizi Maasi ya Kijeshi 1964: Utata Kuhusu Namna Nyerere Alitoroshwa Ikulu Magogoni | Mohamed Said

▶︎
KIBU DENNIS AFUNGUKA MAZITO, AWATAJA YANGA, AUKUBALI MZIKI, WANANCHI, CR BELOUIZDAD,

▶︎
Kupinduliwa na kupinduka kwa Zanzibar | GUMZO MAALUM

▶︎
Abdallah Mssika Aeleza namna alivyomkamata Jasusi wa kwanza Mtanzania Juma Thomas Zangira

▶︎
''ALIPIGWA RISASI MBELE YETU'':ASIMULIA USIKU WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR/INATISHA,S01EP35.

▶︎
Historia JWTZ: Maasi ya Kijeshi Nchini 1964 na Kuundwa kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

▶︎
FULL : MAJASUSI Wa AFRIKA Na MOSSAD Katika OPARESHENI Ya Pamoja Ndani Ya Jiji La LONDON

▶︎
Mjue kwa undani Abdurahman Babu, msomi na mwanaharakati wa Zanzibar aliyefuata siasa za aina yake

▶︎
Mwalimu Nyerere na Wamakonde Katika Mapinduzi ya Zanzibar

▶︎
Usiyoyajua kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - Uchambuzi wa Tundu Lissu na Mohamed Said- Part 1

▶︎
Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary

▶︎
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 12): Revolution in Zanzibar cha John Okello

▶︎
Amani Karume aweka hadharani kuhusu Maalim Seif

▶︎
Zanzibar-Diaspora | Miaka 60 Ya Mapinduzi na Maendeleo leo, Hilmi Hilal aongea, Toronto, Canada

▶︎
Zanzibar, eneo na mipaka yake kwa mtazamo wa kisheria na kihistoria-URITHI WETU (Episode 1):

▶︎
Huyu ndio Mwanamke aliyemmudu sana Mwalimu Nyerere

▶︎
'MFALME WA MWISHO ZANZIBAR', ALIKATAZWA KUINGIA KENYA, ALIONGEA NA NYERERE AKAMUITA

▶︎
Mambo yanayofichwa kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar- Lissu ahoji wako wapi Hanga na wenziwe?

▶︎
