#LIVE: KAMBI LA HUDUMA WEZESHI YA KIADVENTISTA | IBADA KUU - MCHANA | MCH. MSAFIRI MTENZI | SIKU 06

Karibu katika matangazo ya moja kwa moja ikiwa ni Kambi la Huduma Wezeshi kwa mwaka 2025, ambalo limeandaliwa na Union Mission ya Kusini mwa Tanzania, likilenga watu wenye mahitaji maalum. Kambi hili linafanyika Mbeya, Tanzania mwaka huu, na ni nafasi ya kipekee ya kukua kiroho, kushirikiana katika huduma, na kushuhudia upendo wa Kristo kwa pamoja. Tunakukaribisha ujumuike nasi katika uzoefu huu wa baraka na imani. 🙏