QABOOS ALETA MELI YAKE ZANZIBAR KWA ZIARA YA SIKU 5

Mfalme Qaboos wa nchini Oman aleta meli yake mpya, ambayo hii ndio mara ya kwanza kufanya safari na kuileta ZANZIBAR. #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu