SIMULIZI MPYA - MUUZA KUKU

Kwa majina naitwa sasha mollel ni mtoto wa pili katika familia yenye watoto wawili, wa kwanza akiwa kakangu kenzo na mie wa pili na wa mwisho.