TUMSIFU MUNGU, Kwaya ya Mt: Maria( MGUSU-Geita)

Karibu kutazama wimbo huu mzuri uitwao Tumsifu Mungu ulioimbwa na kwaya ya Mt: Maria. Wimbo huu unatufundisha kumsifu Mungu kwa matendo yake makuu anayotukilimia kila siku.