DEREVA WA TRENI

Nimeamua kukusimulia mkasa wa maisha yangu ili uburudike lakini pia ujifunze kutokana na yale ambayo mimi niliyapitia miaka kadhaa nyuma enzi hizo nikiwa kijana barubaru kweli kweli.Kwa majina mimi naitwa Jackson Mkilingoma.