Ibada ya kwanza , Jumapili 28.06.2026.

Karibu nyote nyumbani mwa Bwana tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. Toa sadaka yako kupitia MBEZI BEACH LUTHERAN HUDUMA". MAENDELEO BANK 014154966021, CRDB 0150080095503, M-PESA+255769217618. Tufuate katika mitandao ya kijamii: Facebook : / kkkt-dmp-usharika-wa-mbezi-beach-870009913... Instagram : / kkkt_mbezibeach Twitter : / kkkt_mbezibeach