Salama Na RUBY SE6 EP18 |KIDANI PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 KIDANI Maisha yanakua na muonekano mwengine kwa yule ambaye anakua anayaangalia kwa mbali kwasababu ki ukweli kabisa anakua anaona vitu si kwa uhalisia ule ambao ni wa kweli. Suala la Ruby kutokua na heshima au kukitumia kipaji chake vile itakiwavyo limekua likiongelewa mara nyingi na watu wa kawaida ambao ni mashabiki wa muziki wake lakini pia na ‘wadau’ mbalimbali ambao kwa namna moja ama nyengine wamekua wakimskiliza na kuupiga mziki wake au hata kuuza sehemu mbali mbali hapa duniani, wao wanaamini kabisa na wengine hata hawafichi kwamba Binti huyu Mwenye kipaji kikubwa kama tu angekua na HESHIMA na AKASKILIZA aambiwacho basi ‘angekua mbali sana’. Je, tulishawahi kufikiria kwani Ruby mwenyewe anasemaje kuhusiana na ‘shutuma’ hizi nyingi ambazo huja upande wake? Maneno kama haya ambayo amekua akiyaskia mara kwa mara? Yanafanya ajiskiaje hasa? Na ni kweli iko hivyo? Ni kweli yeye ni MJEURI na HASKILIZI watu? Ni kweli baadhi ya tabia zake ndo ZINAZO MCHELEWESHA? Binti huyu siwezi kusema ni Rafiki yangu kabla ya maongezi haya, mimi na yeye tulishawahi kuongea kidogo miaka miwili hivi iliyopita na yalikua maongezi ya kazi ambayo alikuja na ikaenda tu vizuri, miaka miwili na ushee baadae ndo nikamtafuta tena ili tuweze kuyajenga kwenye meza yetu ya kipindi hiki. Na wala haikua kazi ya kumuingiza tembo bandani, tulifanya tu makubaliano ya kawaida kabisa na siku ya kazi alitokea tu vizuri. Tukaongea, akayajibu maswali yangu ambayo yalikua mengi na kwa ufasaha tu. Kwangu alikua charming, easy going na tulielewana tu poa. Tuliongelea kuhusu makuzi yake na familia yake, mahusiano yake na THT ambayo miaka ya nyuma wakati wa uhai wa Ruge Mutahaba kulikua na maneno mengi kuhusu mahusiano yao wawili hawa pamoja na mabinti wengine ambao nao walikua kwenye kituo hicho miaka hiyo. Tuongelea kipaji chake, Mungu alivyombariki na mtoto hivi karibuni, suala la yeye kuwa mapenzini, kuachwa na jinsi ambavyo anakabiliana na maneno mengi ambayo yamekua yakisemwa juu yake. Huwa anajiskiaje? Anapambana vipi? Maongezi yalikua ya kugusa ila binafsi pia session hii ilikua ya mitihani mingi. Hii siku ndo nilipokea taarifa ya kifo cha Rafiki na Dada yangu Sylvia Mambiu Shekilango ambaye alikua hospitali ya Muhimbili kwenye kitengo cha wagonjwa wa moyo kule akipambania uhai wake baada ya operesheni kubwa ya moyo. Ilikua ngumu kwangu ila kazi ilibidi iendelee. Namshkuru Mungu kwa maisha yake na urafiki wetu. Mungu Amsamehe Makosa Yake Na Amrehemu. Kipindi hiki kiko dedicated Kwake. Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Kwa Mara Ya Kwanza Gerald Afunguka Sababu Za Kuondoka Clouds | SALAMA NA GERALD HANDO PART 1
▶︎

Kwa Mara Ya Kwanza Gerald Afunguka Sababu Za Kuondoka Clouds | SALAMA NA GERALD HANDO PART 1

Salama Na SAMATTA  SE6 EP49 | HEADMASTER PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
▶︎

Salama Na SAMATTA SE6 EP49 | HEADMASTER PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
▶︎

Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Ni MREMBO, MSOMI, ana miaka 25, ana KAMPUNI ya UJENZI kubwa inayotikisa Dar, atoa SIRI za kufanikiwa
▶︎

Ni MREMBO, MSOMI, ana miaka 25, ana KAMPUNI ya UJENZI kubwa inayotikisa Dar, atoa SIRI za kufanikiwa

HEBU NIELEZE KWA SAUTI YA UPOLE| Nyimbo Za Kumsifu, Bwana Yesu, Yahwe, Nifinyange #swahilipraise
▶︎

HEBU NIELEZE KWA SAUTI YA UPOLE| Nyimbo Za Kumsifu, Bwana Yesu, Yahwe, Nifinyange #swahilipraise

DULLA MAKABILA AFICHUA USICHOKIJUA KUHUSU MANARA NA KOBISI KIKARA, YEYE NA MADEMU DAM DAM
▶︎

DULLA MAKABILA AFICHUA USICHOKIJUA KUHUSU MANARA NA KOBISI KIKARA, YEYE NA MADEMU DAM DAM

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1
▶︎

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1

HAPA NDIPO ANAPOISHI SIWA DADA YAKE DULLAMAKABILA/ATUONESHA HADI CHUMBANI ANAPOLALA
▶︎

HAPA NDIPO ANAPOISHI SIWA DADA YAKE DULLAMAKABILA/ATUONESHA HADI CHUMBANI ANAPOLALA

Emotional as We Leave Baby Mpendwa For UK 🇬🇧 😭
▶︎

Emotional as We Leave Baby Mpendwa For UK 🇬🇧 😭

Broke Women ‘Stay’. Beauty Gets Their Attention - Trophy Kiprono
▶︎

Broke Women ‘Stay’. Beauty Gets Their Attention - Trophy Kiprono

The Suspicious Rise of Onyango Tate
▶︎

The Suspicious Rise of Onyango Tate

#EXCLUSIVE: SALAMA JABIR AWAJIBU WANAOMKOSOA/ SISIKILIZI REDIO TENA SIKU HIZI
▶︎

#EXCLUSIVE: SALAMA JABIR AWAJIBU WANAOMKOSOA/ SISIKILIZI REDIO TENA SIKU HIZI

MY REPLY SHOW W/ CHID BENZ EP03 | CHID BENZ AJIBU MASWALI YOTE MAGUMU YA FANS WAKE | MY REPLY SHOW
▶︎

MY REPLY SHOW W/ CHID BENZ EP03 | CHID BENZ AJIBU MASWALI YOTE MAGUMU YA FANS WAKE | MY REPLY SHOW

Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
▶︎

Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1

USINIPITE BWANA - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS
▶︎

USINIPITE BWANA - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS

JEMEDARI APATA WASIWASI TAKWIMU ZA OKELLO DHIDI YA CHAMA, ATOA UFAFANUZI MFUNGAJI NA MCHEZAJI BORA
▶︎

JEMEDARI APATA WASIWASI TAKWIMU ZA OKELLO DHIDI YA CHAMA, ATOA UFAFANUZI MFUNGAJI NA MCHEZAJI BORA

Scars from Russia: Former KDF pilot narrates his escape from Russia war, going for days without food
▶︎

Scars from Russia: Former KDF pilot narrates his escape from Russia war, going for days without food

BURNT PRIDE - MAURICE SAM, REGINA DANIELS, OCHANYA, MAUREEN IHUA latest 2026 nigerian movie
▶︎

BURNT PRIDE - MAURICE SAM, REGINA DANIELS, OCHANYA, MAUREEN IHUA latest 2026 nigerian movie

Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba
▶︎

Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba

Prof. Mahmood Mamdani on decolonisation: Lessons from postcolonial Uganda
▶︎

Prof. Mahmood Mamdani on decolonisation: Lessons from postcolonial Uganda