MAMA ALITAFUTA WANAE KWA ZAIDI YA MIAKA 40/ALIPOKONYWA NA BABA/MAISHA YAO MAPYA BAADA YA KUKUTANA

Mama huyu ametoka NchiNI Kenya kuja kutafuta Watoto wake watatu ambao aliwaacha miaka 43 iliyopita ambapo kwa mujibu wa Mama anasema alipokonywa watoto na baba yao kisha akafukuzwa.Mama anasema alifanya jitihada mbalimbali kipindi hiko ili kuwapata watoto wake lakini hakufanikiwa.Ndipo juzi alipoamua kuja tena Tanzania na kuja katika radio clouds kunitafuta ili niweze kumsaidia kutangaza aone kama ataweza kuwapata wanae. Kwa bahati nzuri baada ya kipindi kuruka kuna watu walisikia na walikuwa wakiwajua watoto hao pamoja na baba yao ndipo walipowaarifu kuweza kufika waje wamuone mama yao...! Fwatilia tukio hili la kusisimua kisha ujionee maisha yao wanayoishi sasa hivi baada ya mama huyu kujuana na wanae aliopotezana nao kwa miaka 43. #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

FURAHA + HUZUNI KWA MIAKA ZAIDI YA 20 KIJANA AKUTANA NA MAMA YAKE | SHANGAZI MTU AIBUA SAKATA
▶︎

BABA MWITA AKIRI MBELE YA MZAZI MWENZAKE NA KUMLETA MTOTO KWA MAMA YAKE MZAZI | TOKA 2005 MPAKA 2022

BABA AMNYONGA MTOTO WAKE WA MIEZI MITANO

MAMA AKUTANA NA WATOTO WAKE ALIOPOTEZANA NAO KWA MIAKA 53/AFUNGA SAFARI KUTOKA DAR HADI GEITA

FAMILIA HII INA HEKAHEKA KUBWA/MTOTO HAPATANI NA WAZAZI  ADAI MAMA HAMPENDI /MAMA ALIA KWA UCHUNGU

The Day I received News My Husband and Our House Maid were Wedding while i was in Saudi Arabia

I lost my KES 20M to my best friend, I left USA a millionaire, now I have nothing | Tuko TV

HATIMAE MAMA NA MWANAE WAMEKUTANA BAADA YA MIAKA 30. Zaidi utawasikia Leotena CloudsFM jumanne hii

Watoto waliopoteana na MAMA yao zaidi ya miaka 40..  Wakutana clouds..!

BAADA YA KUMWAMBIA MKEWE ARUDI NYUMBANI AKAPUMZIKE MKE AGOMA KURUDI/AOMBA TALAKA

Martesa fiktive:Burri që “bleu” mbiemrin e gruas - “Shihemi në Gjyq”-E Diela Shqiptare (31 Maj 2026)

VIDEO: MAMA AKUTANA NA MWANAE BAADA YA MIAKA 17, "KUTOKANA NA UGUMU WA MAISHA"

#LEOTENA: BAADA YA KUTENGANA KWA MIAKA 13, AKUTANISHWA NA WANAE, WAJUKUU

#LEOTENA: MAMA ALIVYOTAKA KUMBEBA MWANAE ALIYEPOTEZANA KWA MIAKA 36, SIJUI MIAKA YANGU

LIVE:  Watoto Waliopoteana na Mama yao Kwa Miaka Zaidi ya 40 na Kukutana

Dada Twende Tukafagie Kaburi la Baba | Nilijua Mdogo Wangu Atakuwa Muhuni

EXCLUSIVE: MAMA NA MTOTO HAWAJAONANA MIAKA 41,WAKUTANISHWA MOSHI "NILITUMA MALAIKA, NI KILIO"

LEO TENA YA CLOUDS: MAMA ALIYEKUTANA NA MTOTO WAKE BAADA YA MIAKA 28, BABA ALIKUFA, VILIO VYATAWALA

GUMZO: MWANAMKE WA MIAKA 70 AJIFUNGUA WATOTO MAPACHA, AVUNJA REKODI AFRIKA, BABA MTOTO AMEKIMBIA.

LIVE: MTOTO Amtafuta mama mzazi | Mjomba amueleza ukweli juu ya kifo cha mama yake..!