Dr. Chris Mauki: Dalili 4 Kwamba Mpenzi Wako Amekuchoka

Hivi unajua mpenzi wako akikuchoka kuna vitu utaviona kwenye tabia yake? Sasa kama huvijui ndio unaweza kukuta unajipotezea muda tu. Nataka kukusaidia kujua, Hizi hapa Dalili 4 kwamba mpenzi wako amekuchoka#DrChrisMauki#Dalili#Amekuchoka