Banza Stone alivyokanusha kufa, aita Waandishi kuthibitisha

Mwimbaji mkongwe wa muziki dance Tanzania Banza Stone juzi ilikua ni mara yake ya tatu kuzushiwa kifo ambapo yeye na mama mzazi waliita waandishi nyumbani kwao kuzikanusha hizi taarifa.